TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa

The Typologically Different Question Answering Dataset

Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa (ing. International Phonetic Alphabet, kifupi IPA) ni mfumo wa alfabeti inayolenga kuonyesha sauti za lugha zote duniani. Imetungwa na wataalamu wa isimu wanaoshirikiana katika Shirika ya Kimataifa ya Fonetiki (International Phonetic Association). Inatumiwa na watunga kamusi, walimu na wanafunzi wa lugha za kigeni, wanaisimu na wafasiri kote duniani. Kwa hiyo tunakuta alama zake katika kamusi na mara yningi pia kwenye makala za wikipedia.

Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa ni nini?

  • Ground Truth Answers: mfumo wa alfabeti inayolenga kuonyesha sauti za lugha zote dunianimfumo wa alfabeti inayolenga kuonyesha sauti za lugha zote dunianimfumo wa alfabeti inayolenga kuonyesha sauti za lugha zote duniani

  • Prediction: